Bomet Governor Joyce Laboso to Leave London Hospital for Further Treatment in India

Bomet Governor Joyce Laboso to Leave London Hospital for Further Treatment in India

Bomet Governor Dr. Joyce Laboso is set to leave United Kingdom's Royal Marden NHS Foundation Trust Hospital to seek further treatment in India.

Laboso was admitted to the London-based hospital 27 days ago for treatment for an undisclosed ailment.

According to Daily Nation, County Chief of Staff Jayne Sigilai informed some Bomet MCAs that Governor Laboso would travel to India for further medical care once she is discharged.

"The governor is doing well but she is expected to be referred to a hospital in India to be attended to by another set of doctors," Mrs. Sigilai said.

Laboso left the country for the UK on May 29th after handing over duties to Deputy Governor Hillary Barchok.

Her office announced she was taking a one-month medical leave, ending months of public speculation that she was unwell. Prior to that, she had not been seen in public for weeks.
 
“The Governor assures Bomet residents and stakeholders that the running of government functions and activities will continue as normal with no interruption, “said Bomet Director of Communications Ezra Kirui.

 

Comments

MjuAji (not verified)     Wed, 06/26/2019 @ 02:33pm

Singelimuombea yeyote apatwe adhirike na ugonjwa au maumivu ya aina yoyote. Ningelifanya hivyo, ningalionekana mwanadamu hafifu wa mwenye moyo na fikra potovu. Naelewa wadhifa wako unakuruhusu kuwa na bima ya kugharamia afya yako. Lakini chochote kinacho muuguza kiongozi huyu kinawaacha walipa kodi popote walipo wakiwa na maswali mengi. Utaratibu wa matibabu katika hospitali yoyote ile, hata ng'ambo, haibadiliki hata. Katika hizo siku therathini amekuwa akitibiwa huko ulaya, nahesabu takriban mamillioni ya fedha za umma ambazo zingetumiwa kuimalisha hali ya kiafya katika hospitali zote huko Bomet. Utakapofika kule India kwa matibabu zaidi, matibabu yote uliofanyiwa ulaya itakuwa bure, na baada ya madaktari huko India kuyapekua pekua makaratasi utakayowapa, watayaweka kando na kuanza matibabu yao upya. Wakati waliokuwa mawaziri katika serikali ya Kibaki, Anyang Nyong na Beth Mugo, walipogunduliwa walikuwa na ugonjwa wa saratani, wote walitibiwa miezi mingi kule California, Marekani. Waliporudi nyumbani, walianzisha miradi ya kuwatibu waliougua ugonjwa huo. Nafikiri sio busara kungojea viongozi wapatwe na ugonjwa fulani, na baada ya wao kutibiwa katika nchi za kigeni, ndio wanafahamu umuhimu wa kuimarisha na kuboresha hali ya hospitali katika maeneo yao.

Sukari (not verified)     Wed, 06/26/2019 @ 04:50pm

Royal Mersden is a leading cancer hospital. If you want to keep it private, omit such details. Kila la heri. Pesa zamiminika, mwanainchi Kamau asiwe na lake.....

JustMe (not verified)     Wed, 06/26/2019 @ 04:53pm

Wamuchomba says, come get your treatment in Kenya. Taxpayers are paying your huge bills while their own die in the house for lack of badics....imagine being ill and having no medical attention and no nourishment, for lack of money.
Who cares for the taxpayer? Who pays the taxpayers bills?

Imara Daima (not verified)     Wed, 06/26/2019 @ 07:30pm

Wapiga kura katika nchi ya Kenya ni kama karatasi ya kamasi.Ukishaitumia huiangalii wala kuitumia tena. Huitupa (karatasi) kwenye jaa la takataka (trash can).

mkenya halisi (not verified)     Wed, 06/26/2019 @ 11:57pm

I have said it whether u get treated in majuu where they states n lie to pple that they have the best healthcare system if ur time has come it doesn't matter whether u fly to usa/uk/australia/congo/haiti/china/india siku yako ikifika u MUST GO but our leaders should b ashamed that they cannot b treated in their hospitals juu they have refused foolishly to equip them!Have u seen the usa leaders or uk flying to kenya hospitals to b treated????Shame them to our leaders.Personally i wish i had feelings from our leaders who have still shown how incompetent they are even with stupid degrees/masters/phds in their heads.

Mgeni (not verified)     Thu, 06/27/2019 @ 12:55am

Enyewe mambo ya Mungu ni mengi. After this family- Laboso family walikuwa kipao mbele kupiga na kufurusha Wakikuyu,Wakisii, Wameru na Wakamba kutoka Kericho, Bomet na viungo vyake. Hao ndio walikuwa wanapeana pesa za mafuta ya petroli. All petrol stations ran dry not because people were traveling that much but because these SOBs were torching people's houses. Infact as the "Wakimbizi" were running away from the Kalenjin/Nandi areas, they were being cornered by the Kalenjin/Nandi youth who would tourch the little belongings these desperate people managed to salvage and when they fled to the internally displaced persons camps (IDPs) within this towns, these youths would trac them, find them, rape them and even take the blankets supplied by the humanitarian agencies. Uhuni mgani huu!!! This Laboso plus her sister the late Lorna and kina the late Kipkalya Kones na wengine roho chafu wanajijua tu! This lady is so tribalistic, at this day and age she dropped her husband's name not to appear "too luo". I mean it's hard to reconcile the things that her family and or people have done with the ailing Laboso. I don't know what her stand is on gay rights given that her son is openly gay.:-

http://www.ghafla.com/ke/governor-joyce-labosos-gay-son-causes-a-stir-a…

Either way ugua pole. Let's all learn from our past to build a better Kenya, however little or grand we contribute to it's growth. It's very unfortunate.

MjuAji (not verified)     Fri, 06/28/2019 @ 01:04pm

In reply to by Mgeni (not verified)

Ahsante sana "mgeni" kwa kuangazia ukweli: kindani. Singesema mengine zaidi ya hayo, ila pengine kuongezea yaliyo na yanayo wakereketa waadhiriwa wote wasio Wakalenjin, WaMaasai, WaMijikenda na Wajaluo waliokuwa wakiishi maeneo yao. Waliofurushwa na makabila haya waliokuwa Wakikuyu, Wakisii, Waluhya, Wameru na makabila mengineo. Kwanza naanza na , Wakalenjin. "Matoatoa" or madoadoa (kama walivyokuwa wakiitwa na Wakalenjin, waliuawa, wakajeruhiwa, wakanajisiwa, na mali yao na mifugo ikaibiwa na mashamba yao yakamilikiwa nao. Wote waliokuwa wakiishi sehemu kama vile Njoro, Molo, Kidawa, Rongai, Kericho, Bomet, Kaptagat, Timboroa, Cherang'ani, Burnt Forest, Kwa Rhoda na Kaptembwa(Nakuru), walifanywa vitendo ambavyo hata wa leo, hawajawahi kupata haki yao. Wakichochewa na kudhaminiwa na Kones, Biwott, Kibor, Bargetuny, Kitony, Sumbeiyo, Nick Salat, Laboso, Ruto, Ng'eny, Joshua Kulei, Abraham Kiptanui, Kiplagat, Too, na wengineo, vijana kutoka kabila hilo walitumia petroli, mishale, mashoka, mapanga, na silaha zingine butu kuwapooza, kuwalemaza, kuaangamiza, kutwaa mali yao, na maovu mengine ambayo siwezi kuyataja hapa. Vilio vya wanawake na watoto kuachwa na mme na baba zao, vilio vya wanawake na watoto kuchomewa katika kinisa la Kiambaa, vidondo vya moyo na mauguzo ya fikra wanayoyapitia waleo, bila shaka Maulana angali anawasikitikia. Hao wote niliotaja wako wapi leo? Kilichosikitisha wakati huo ni kwamba watu kama Joseph Kamotho, Chotara, Mama Wanjiru Steel, na wengine hawakuinulia Moi kidole cha lawama. Wote hao walitumbukia katika pipa ya sahau, na vizazi vya je? Mmmmmmm! Unapowatendea binadamu hujuma na ukatili, kama hitakupata wewe, vizazi vya hadi cha nne, itawapata tu. Mtazame Moi leo, Laboso leo, Kones na vituko vya mzee Kibor. Dunia hii jameni! Pili ni Wamaasai. Bingwa wa kueneza chuki na vita William Ole Ntimama, aliwafurusha Wakikuyu, Wakisii, Kipsigis, Wakamba na Wameru kutoka sehemu za Narok kama Melili, Maiella, Enoosupukia, Nairegi Ankare, Olulunga, Ntulele, Ololturot, Keekonyokie,Ilaiser, Sakutiek, Enaiborajijik, Enooseyia, Ongata Naado, Enaramatishoreki, Mosira na vitongoji vyote vya Narok, huku wakipoteza maisha na mali yao. Ntimama yuko wapi leo? Aliyekuwa kasisi wa Kikatoliki Father Kaeser, aliuwawa kinyama akiwatetea makabila walioadhiriwa upande wa Enoosupukia. Mnara wa ukumbusho wake utauana kando kando ya barabara ya kutoka Naivasha hadi Nakuru, pale katika barabara inaoingia Naivasha KCC, kabla hujavuka mtoto Malewa. Tatu twende kisiwani Mombasa. Aliyejulikuwa mwenyekiti wa KANU pwani Shariff Nassir(kwa jina lingine "Mpende Msipende"), aliwawachocheo vijana kuwafukuza makabila yote kutoka bara sehemu kama vile Changamwe, Likoni, Mtwapa, Majengo, Shimo la Tewa, Mazeras, Kaloleni, Mariakani, Mpeketoni, Mombasa, Kilifi, Ukunda, kwale, Nyali, Diani na vitongoji vingi kutoka kisiwa hicho. Shariff bin Nassir yuko wapi leo? Na mwisho twende Kisumu ambapo Raila na wenzake, walichochea vijana kuchoma mali na kuua na kujeruhi Wakisii, Wakikuyu, Wameru na makundi mengine ya Kibantu kutoka sehemu kama vile Kanyakwar, Kogony, Nyamera, Bar, Kibra, Lang'ata, Korando, Kibuye na vitongoji vya mji wa Kisumu. Biashara na numba zilizo milikiwa na hasa Wakikuyu kama vile maduka makubwa, benki ya Equity, na makaazi ya makabia hayo. Leo hii tazama matukio ya Raila na jamaa yake. Jaribu kutenda mema na wema kwa binadamu wenzako upate hadhi na kukubukwa milele. Hata hapa Marekani, utakutana na Wakenya ambao kazi zao ni kuchukiza na kuwakera wenzao bila sababu yoyote. Ukigundua kwamba sisi sote duniani tu wapita njia, basi utaelewa ipasavyo jinsi uanvyoweza kuifanya dunia hii iwe pahala pema pa kuishi kwa sisi sote. Kwani kipepejio, utaiacha dunia hii uchi ulivyozaliwa.

jag (not verified)     Thu, 06/27/2019 @ 07:39am

Lucky her, she has taxpayers money working for her and can easily be transferred from one country to another. How about other Kenyans even in her own county of Bomet who are in serious need of medical intervention? They can't even get an authorization to go abroad for the same treatment.

Add new comment

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.

Plain text

  • No HTML tags allowed.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Web page addresses and email addresses turn into links automatically.
CAPTCHA
1 + 1 =
Solve this simple math problem and enter the result. E.g. for 1+3, enter 4.
This question is for testing whether or not you are a human visitor and to prevent automated spam submissions.