Two Police Officers, Three Others Charged with Stealing Millions from Barclays Bank ATMs in Nairobi

Two Police Officers, Three Others Charged with Stealing Millions from Barclays Bank ATMs in Nairobi

Five suspects arrested in connection with the robbery of millions of shillings from Barclays Bank ATMs in Nairobi two weeks ago have been arraigned in court on Thursday.

The suspects, who include two police officers, two security guards, and a taxi driver, have been charged with stealing from various Barclays Bank ATMs.

Fredrick Herman Otiya, Daniel Orero Okindo, George Gachungu Njoroge and John Otieno Makambogo have been charged with stealing Sh2.8 million at Barclays Bank ATM located at Kenya Cinema Plaza along Moi Avenue in Nairobi.

The four have further been charged with conspiracy to commit a felony of stealing Sh2.84 million from Barclays Bank.

The fifth suspect, Patrick Nyoike Karanja, a taxi driver, has been charged with stealing Sh1 million from Barclays Bank.

The accused is alleged to have committed the offense at the Barclays Bank ATM situated at Mater Hospital in Nairobi on April 20th.

The accused persons have denied the charges and have been released on a cash bail of Sh500,000 each.

The hearing of the case is set for June 5th, 2019.

Barclays Bank is said to have lost Sh14 million from four ATMs in Nairobi during the Easter Weekend heist.

Comments

Imara Daima (not verified)     Thu, 05/02/2019 @ 09:08pm

Jamani: Askari polisi kuhusika na mambo ya wizi! Ningependa kujua, kwa nini mahakama ya Kenya haisimami wima na kurekebesha uhalifu ambao uko karibu kumaliza nchi yetu kwa kuwafunga majambazi kwa maisha ili wananchi wa kawaida waogope kufanya uhalifu?

Kwa nini mkristo Ruto hatoi pesa za kujenga jela badala ya kuwahonga mafisi (hyenas) viongozi wa makanisa?

Kwa nini bunge la Kenya halitoi sheria kali sana ambazo zinaweza kumaliza ujangili na utapeli huu ambao utamaliza nchi yetu punde si punde?

Kama askari polisi wamekuwa wezi, sasa usalama wa mwananchi wa kawaida utapatikana kutoka wapi?

Jamani! TUMECHOKA na uhalifu mwingi katika nchi ya Kenya.

Kijana (not verified)     Fri, 05/03/2019 @ 10:47pm

In reply to by Imara Daima (not verified)

I like reading your contributions especially ‘mambo ya utapeli’ but I don’t understand your obsession with religion, especially Christianity. Wachana na imani za watu Imara!

Maxley (not verified)     Thu, 05/02/2019 @ 09:45pm

Police officers should be held to a higher standard.As such,the punishment should be more severe.
Secondly, each time a criminal is apprehended in the act of committing a crime and there is ample evidence of that,they should not be allowed to plead not guilty.They are guilty.No point in unnecessarily clogging up the court system.

Imara Daima (not verified)     Fri, 05/03/2019 @ 12:47pm

Ndugu @imkgoogo:

Hayati mwanafalsafa (philosopher) Ndugu Karl Marx alisema:

" ...Religion is the sigh of the oppressed creature, the heart of a heartless world, and the soul of the soulless conditions. IT IS THE OPIUM OF THE PEOPLE."

Dini inamfanya mtu asitumie akili yake ipasavyo (as required). Dada mmoja Myahudi alisema, mfuasi wa dini yoyote duniani ni mtu ambaye, hajafundishwa (has not been taught) "...critical thinking."

Matatizo mengi tuliyonayo nchini yanaweza kupunguzwa kwa zaidi ya nusu iwapo watu wataanza kutumia akili yao na kuishi maisha yao ya kila siku kwa hali ya kujitegemea. Ni lazima watu wakimbie haraka kama iwezekanavyo wanapokutana na "viongozi" bandia wa makanisa (fake preachers).

Mtu ambaye hatumii akili yake vizuri anazaa watoto wengi na huku hawezi kuwalisha chakula, kuwavisha nguo, na pia kuwapa mahali pa kulala na mwishowe kuwalipia ada ya shule! Mtu kama huyu anaanza kuomba omba watu ili wamsaidie na maisha ya watoto wake. Wasipomsaidia, anawachukia. Teknolojia ipo sasa: si lazima mwanamke apate mimba kila wakati anapojamiana na mwanamume.

Hebu tazama: kanisa la Kikatoliki linawakataza wanawake kutumia vikinga mimba (birth control gadgets). Tazama kama umaskini uliozidi kila mahali kanisa la katoliki limekwenda!

Mimi napinga vikali dini zote za kigeni. Dini hizi ndizo zilizowauza Wafrika sokoni kama mandazi na mpaka sasa zingali zinawabagua watu wa asili ya Afrika.

Kwa hiyo, hamna tofauti na mtu aliyepigwa msasa (brainwashed) na kuamini dini fulani na mtu anayetumia afyuni (opium) au kokein (cocaine).

Mimi nachukia sana makanisa na misikiti kwa sababu watu hufundishwa huko kujali maisha baada ya kufa! Si kama wangali hai! Dini na ushirikina (superstition) hamna tofauti.

Mwishowe, ni muhimu watu wotw wajue ya kwamba biblia ni kitabu cha historia, falsafa, utamaduni, na imani ya Wayahudi. Na koran ni kitabu kinachosambaza historia, falsafa, utamaduni, na imani ya Waarabu.

Imara Daima (not verified)     Sat, 05/04/2019 @ 03:14pm

@Kijana

Mimi sielewi kama mtu mwenye akili yake timamu anawezaje kujiunga na dini ambazo ziliwauza Wafrika utumwani na mpaka sasa zinazidi kumdharau Mwafrika.

Mimi sina shida yoyote na dini ambazo hazisukumi imani yake kwa watu wengine huku zikitumia ujanja, wizi, na utapeli kama dini ya mwana Mariamu na mwana Aisha.

@Kijana, umesikia mimi nikipinga (oppose) dini za asili za Afrika? JIBU ni HAPANA/LA.

Umesikia nikinung'unika (complain) juu ya dini ya Kihindu?

Imara Daima (not verified)     Sat, 05/04/2019 @ 03:43pm

@Kijana aliandika:

..."I don’t understand your obsession with religion, especially Christianity. Wachana na imani za watu Imara!"

MAJIBU YANGU KWA NDUGU KIJANA:

Ndugu Kijana, kama wakristo na waislamu wakiachana na uhalifu wao, mimi nitanyamaza. Lakini wakiendelea kutumia imani yao mbovu kueneza uhalifu wao, mimi sitanyamaza!

NINGEPENDA KUJUA:

1. Kwa nini watu wa imani ya kikristo na kiislamu wanaendelea kumbagua Mwafrika kila mahali duniani?

2. Kwa nini wanaendelea kufikiri ya kwamba, Mwafrika ni mjinga sana na hawezi kuendelea na imani ya mababu zake?

3. Kwa nini wanafikiri imani yao ni nzuri kuliko imani ya Mwafrika?

4. Kwa nini hawafuati mifano mizuri kama dini nyingine ambazo hazimsumbui Mwafrika na kumwambia ni lazima ajiunge na dini zao mbovu kama akitaka kwenda "mbinguni" baada ya kufa?

5. Kwa nini wanachukia rangi ya Mwafrika ambayo alipewa na MWUMBAJI MKUU?

Add new comment

The content of this field is kept private and will not be shown publicly.

Plain text

  • No HTML tags allowed.
  • Lines and paragraphs break automatically.
  • Web page addresses and email addresses turn into links automatically.
CAPTCHA
2 + 18 =
Solve this simple math problem and enter the result. E.g. for 1+3, enter 4.
This question is for testing whether or not you are a human visitor and to prevent automated spam submissions.