Mass Deportations of Undocumented Immigrants from the US will Start after July 4th, Trump Says

US President Donald Trump says raids of undocumented immigrants will start sometime after July 4th.
“We will be removing large numbers of people starting sometime after July 4,” Trump said at a press conference on Saturday following the G-20 summit in Japan.
This is after the president called off an earlier immigration raid planned for last Sunday that targeted about 2,000 families in about 10 US cities. The president said he postponed the raid for about two weeks at the request of Democrats.
Comments
Kama kuna shetani wa kipekee…
Permalink
Kama kuna shetani wa kipekee aliyeweza kumiliki Nyumba Nyeupe ni Kaburu mlowezi Trump. Katika miaka na miongo nilio ishi Marekani, mlowezi Trump ni Mripublikani wa kwanza kuonyesha chuki isiopimika dhidi ya wahamiaji inayoelekezwa kwa Walatino na Waafrika tu. Tufanye nini? Nimekuwa nikisisitiza kwamba kama mambo yako inatakshwishi, kuwa na Mpango wa Pili na wa Tatu. Hizi njama za Mlowezi Trump za kusaga meno na kuweka watu kiwewe, hofu, wasiwasi, mtafaruku, na dukuduku ni kheri wewe na mimi tuzikomeshe. Kumbuka kuishi kwa wenyewe kuna matokeo na matarajio yake. Jipange sasa. Anza kufikiria juu ya kurudi nyumbani au kuhamia nchi zinazowakaribisha wageni na wahamiaji kama vile Kanda na Australia. UAMUZI NI WAKO NDUGU NA DADA YANGU.
The element of surprise is…
Permalink
The element of surprise is the best weapon in ICE's arsenal. Why would they announce their raids ahead of time complete with locations? This is just theater for political points.
Simple. ICE already knows…
Permalink
In reply to The element of surprise is… by Mumbi (not verified)
Simple. ICE already knows who you are and where you live if you are undocumented. And it also knows how the human mind works - they are coming out for us but there are millions of us so I won’t be targeted. They know you’ll probably be a little bit careful but otherwise you gona stay put. And they dramatize these arrests to create even greater fear, fear designed to prompt you to self deport or at least begin considering it. Understand basic psychology
Madhumuni ya huyu ndugu yetu…
Permalink
Madhumuni ya huyu ndugu yetu kiongozi wa nchi ya Marekani ni kuendeleza, kukuza, na kuimarisha fikira zake mbovu duniani kote ya kwamba wanaume wa asili ya Yuropa ndio walioteuliwa na "mungu" wao bandia na pia mwizi ili waitawale dunia nzima. Aliposema nchi ya Marekani ifanywe maarufu tena, alimaanisha nchi ya Marekani irudi kwenye hali ya siku ambazo wanaume wa asili ya Yuropa walikuwa na watumwa na pia, ndio waliokuwa wakiitawala nchi ya Marekani.
Mamaye (kiongozi wa Marekani) ni mzaliwa wa Scotland na babu yake ni mzaliwa wa nchi ya Ujerumani. Ana haki gani kuifanya nchi ya Marekani kama mali ya wanaume majambazi na matapeli kutoka Yuropa? Ana haki gani kujenga ukuta katika nchi isiyo ya mababu zake? Jamani, huu ni ungwana majambazi kuchukua nchi za watu wengine na kuzifanya nchi zao kwa kutumia porojo, mabavu kila wakati?
"mungu" wao wa bandia alimtumia mkuu wa kanisa la katoliki Ndugu Nicholas wa tano kusema ya kwamba Wafrika hawana utu kwa hiyo wanaweza kuuzwa kama watumwa kwa maisha yao yote hapa duniani. Wafrika waliouzwa utumwani mpaka sasa wanateswa na kufungwa jela kuliko watu wa asili yoyote duniani. Isitoshe, wangali wakibaguliwa kutokana na ugonjwa wa Wanayuropa wa rangi. "mungu" wao bandia amewaambia ya kwamba, ndio binadamu pekee wanaostahili kuabudiwa na kutawala dunia nzima. Ukitazama matatizo mengi tuliyo nayo duniani sasa, utaona ya kwamba asili yake inatokana na majambazi na matapeli hawa kutoka Yuropa.
"mungu" wao wa bandia aliwaelekeza majambazi hawa kutoka Yuropa kuzivamia nchi za wenyewe, kuwaua wenye nchi, kuwabaka wanawake, wasichana, na wake za watu ili kuimarisha na kudumisha wizi wao popote walipokwenda baada ya kuwadunisha wenye nchi.
Ukitazama kwenye ramani ya dunia nzima utaona ya kwamba nchi zifuatazo ziko chini ya majambazi hawa kutoka Yuropa baada ya kuchukuliwa kwa hila na pia kutumia risasi na kitabu bandia kinachoitwa "biblia:" Greenland, Canada, Marekani, Mexico, nchi zote za Marekani ya kati na pia ya kusini, nchi zote zinazopatikani Caribbean, Australia, New Zealand, nchi zote zilizomo kwenye bahari ya Pacific na Atlantic, ncho zote zilizoko Mashariki ya Moscow.
Kusema kweli, wenye nchi wa (wazaliwa asili) nchi ya Marekani yawapasa wamwambie mlowezi kiongozi wa Marekani awe wa kwanza kurudi nchi ya Ujerumani au Scotland kabla hajamwambia mtu yeyote kuondoka nchi hapa.
Sio Wanayuropa wote ni walowezi. Wafuatao ndio walowezi wakuu kutoka Yuropa: Warusi, Watu wa asili ya nchi ya Denmark, Wajerumani, Wadachi, Wataliani, Waspania, Wareno, Waingereza, Wabeljiji, na Wafaransa. Majambazi hawa kumi (10) ndio asili ya matatizo karibu yote tuliyo nayo duniani sasa.
Imara Daima totally…
Permalink
Imara Daima totally understand the need for swahili but its becoming annoying. No one is here trying to study insha. And if you feel swahili is what defines you being mzalendo, then its best you go back home don't be a chameleon ate you are in Us and trying to keep to keep to your cultures in mwakilishi. I am sure in your nursing home you don't speak swahili while changing diapers. Keep your comments short Imara Daima otherwise mwakilishi hana awards for the best insha writing on this post. Bure kabisa
😎 yup
Permalink
In reply to Imara Daima totally… by omosh (not verified)
😎 yup
If you don’t like his…
Permalink
In reply to Imara Daima totally… by omosh (not verified)
If you don’t like his comments, why even look at them? Read the ones written in a language you can understand and let those of us who enjoy, understand and like Swahili enjoy reading his “inshas”
@ Ndugu Omosh, why is…
Permalink
In reply to Imara Daima totally… by omosh (not verified)
@ Ndugu Omosh, why is Swahili annoying?I love it. I have learned quite alot of swahili vocabulary for this forum.You seem to pride yourself in elevating english on this forum,from what I gather.
Mwakilishi may be headquartered in the USA,but its readership in worldwide.So there are some who find great pleasure in reading comment in kiswahili.
If I could write like Imara Daima, Iwould in aheart beat.Iam getting there...
I suggest Mr. Omosh,that you improve your swahili,and the annoyance will diminish.
Ndugu yangu @Mucang'ang'a:…
Permalink
Ndugu yangu @Mucang'ang'a:
Asante sana kwa msimamo wako juu ya lugha ya Kiswahili.
Ndugu yangu @Omosh:
Nakuomba uelewe ya kwamba, hakuna makosa yoyote kuandika huku nikitumia lugha yetu ya taifa ya Kiswahili. Nakuomba usome katiba yetu mpya halafu utaona ya kwamba, Kiswahili na Kiingereza ni lugha rasmi na pia lugha ya taifa katika nchi ya Kenya. Pia kwenye bunge la Kenya, unaweza kusema Kiswahili au Kiingereza!
Unanishauri nirudi Kenya. Je, umepata wapi uwezo wa kuniambia mahali pa kuishi? Ningependa ujue wazi ya kwamba, wewe hukuniambia nije nchi ya Marekani kwa hiyo huwezi kunishauri mahali pa kuishi au wakati wa kurudi Kenya! Ningependa ujue ya kwamba, mimi huandika sana hapa Marekani kwa lugha ya Kiingereza: si Kiswahili. Isitoshe, sasa unanishauri pia jinsi ya kuandika! Ndugu yangu, usiwe mwehu, nakuomba utumie vizuri akili uliyopewa na MWUMBAJI MKUU.
Je, nikiandika kwa lugha ya Kiarabu utasemaje? Lugha ni chombo cha mawasiliano baina ya binadamu. Inaonekana wewe unadhamini lugha ya Kikoloni (Kiingereza) kuliko lugha yetu ya Kiafrika (Kiswahili)! Pole sana ndugu Omosh.
Yaonekana wewe umefundishwa kujidharau na pia kuwadharau watu usiowajua. Uliandika:
"... I am sure in your nursing home you don't speak swahili while changing diapers."
Ningependa ujue ya kwamba mimi sijafanya kazi hiyo unayofikiria hata siku moja. Pia, sidharau kazi yoyote binadamu anayofanya katika maisha yake. Msingi wa kufanya kazi ni kujitegemea (self reliance).
Swali langu kwako ni hili: Ndugu yetu MjuAji naye pia huandisha "insha" kama mimi. Kwa nini hukutaja jina lake uliponikosoa?
Nakuomba usome kitabu kimoja maarufu kilichoandikwa na Mmarekani kinachoitwa "We Need To Talk." Jina la mwandishi wa kitabu hiki ni Celeste Headlee. Msingi wa kitabu hiki ni kuwa watu siku hizi hawaelewani kwa sababu wameacha kuzungumza. Wengi wa vijana wa siku hizi wanatuma ujumbe mfupi (texting) kama njia yao kubwa ya mawasiliano.
Nakutakia kila la kheri Ndugu @Omosh. Nakuomba ufanye vile Ndugu yetu@Mucang'ng'a alivyokushauri. Si lazima usome niliyoandika hapa kwenye gazeti letu tukufu la Mwakilishi.
I don't get it why you want…
Permalink
I don't get it why you want to censor the length of Imara's post. It is not a must read, so just swipe away and move along. Those like me who don't mind reading Imara's and Mjuaji's long posts don't want to be denied of the opportunity.
Ndugu yangu @Anos na pia…
Permalink
Ndugu yangu @Anos na pia ndugu yangu @Maxiley:
Ninawashukuru sana kwa maoni yenu kuhusu msimamo wa ajabu wa ndugu yetu @Omosh.
Ndugu yangu @Omosh:…
Permalink
Ndugu yangu @Omosh:
Umenikumbusha nilipokuwa shuleni Kenya wakati tulipoadhibiwa (when we were punished) na walimu walipotusikia tukisema lugha nyingine shuleni isiyo Kiingereza.
Ndugu Omosh, yaonekana umesahau ya kwamba tulipata uhuru 12/12/1963! Kwa hiyo, Amka ndugu: kumekucha.
@Omosh: Kwa nini huwaambii…
Permalink
@Omosh:
Kwa nini huwaambii Wamarekani wasiseme Kiingereza hapa (US) warudi kusema Kiingereza nchi ya Uingereza mahali ambapo Kiingereza kilianza?
Bible is not fake ! @imara…
Permalink
Bible is not fake ! @imara daima
Add new comment